Salome akiwa amepozi kwenye hoteli ya Palazzo mjini Las Vegas alipokwenda pamoja na shosti zake kusherehekea bachelorett...
Salome
akiwa amepozi kwenye hoteli ya Palazzo mjini Las Vegas alipokwenda
pamoja na shosti zake kusherehekea bachelorette party yake wikiendi
iliyopita

Salome
akiwa tayari kwenda kuperuzi mitaa ya Las Vegas alipokwenda kwa ajili
ya kusherehekea bachelorette party yake pamoja na shosti zake

Soon to be Miss Mollel


Salome na shosti zake katika mitaa ya Las Vegas
