Wapenzi wa burudani na wanazi wa tamasha la Burudani lililopewa Jina la Serengeti Fiesta linalotarajiwa kufanyika katika uwanja ...
Wapenzi wa burudani na wanazi wa tamasha la Burudani lililopewa Jina la
Serengeti Fiesta linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kaitaba kesho
ijumaa,wamepigwa na butwaa baada ya mastaa kibao wa mziki kuwasili
katika uwanja wa ndege wa bukoba bila staa wa mziki wa kizazi kipya
Nasib Abdul a.k.a Diamon Platnumz .
Wasanii kibao wanaotsa katika tasnia ya mziki,wamewaili pamoja na viongozi kadhaa wanaondaa tamsha hilo la Fiesta ambapo wasanii utumbuiza mashabiki wao.
Baadhi ya mashabiki wa mziki huo wakiongea na mtandao huu,wamesema kuwa walitegemea kuwa Diamon atakuwepo lakini hakuonekana katika kundi la wasanii waliowasili leo,wakidai kuwa labda atafika na usafiri binafsi.
Tamasha hilo linadhaminiwa na Bia ya serengenti na litafanyika ijumaa ya august 15,2014 katika uwanja wa kaitaba.
Hapa chini ni picha za wasanii hao walivyowasili katika uwanja wa kaitaba bila Diamond kuwepo.
Picha zote na Mdau Faustine Lutta
nncnccncn