Msanii wa Bongoflava ambae amerudi kwa nguvu sana katika tasnia hiyo Leo katika mechi ya mpira wa miguu kati ya Bongo Flava na Bongo ...
Mashabiki waliosheheni uwanjani hapo walionyesha kumkubali msanii huyu kwa kitendo cha kumshangilia sana wakati akiingia uwanjani kabla ya hata mechi kuanza. Msanii Alikiba ni mmoja kati ya wasanii waliokuwa na wapenzi wa kweli (Die Hard Fans) ambao wapo nae daima akiwepo kwenye game au la.