post-feature-image
HomeBurudani

TUZO zaendelea kumiminika Kabati la TUZO kwa LADY JAY DEE

Msanii Lady Jay Dee aka KOMANDO naweza nikasema kuwa ni msanii pekee ambae anaongoza kwa kukamata TUZO nyingi nchini Tanzania na hata ...


Msanii Lady Jay Dee aka KOMANDO naweza nikasema kuwa ni msanii pekee ambae anaongoza kwa kukamata TUZO nyingi nchini Tanzania na hata Afrika Mashariki baada ya kuanza kuzikusanya za ndani na nje ya Tanzania tokea miaka ya mwanzoni mwa 2000 na kuendelea. Msanii huyu nyumbani kwake ana kabati lililojaa TUZO kama vyombo vya nyumbani kwenye makabati ya nyumba zingine, alianza kuzikamata miaka hiyo.
Hii ni mara nyingine tena kwa mazoea ya ushindi aliokuwa nao msanii huyo mahili mwenye kipaji cha hali ya juu nchini Tanzania na Afrika Mashariki, ambae ni mama wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania ambae analiongoza gurudumu hilo kwa zaidi ya miaka 15 hivi sasa na bila kuonyesha dalili zozote za kuteteleka sababu wasanii wanakuja na kupita ila yupo pale pale. Msanii Lady Jay Dee ameitoa Tanzania Kimasomaso kwa kushinda tuzo katika tuzo za AFRIMA (African Muzik Magazine Awards 2014), zilizofanyika jana Dallas, Marekani kama MWIMBAJI BORA wa KIKE wa AFRIKA MASHARIKI.
Wasanii wengine kutoka Afrika Mashariki waliofanikiwa kutoka na tuzo hizo za AFRIMMA ni Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya),Best Male East Africa 2014 – Diamond (Tanzania), Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya) na Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)

Hii ni orodha kamili ya washindi wa AFRIMMA 2014
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)
Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia
Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka
Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: TUZO zaendelea kumiminika Kabati la TUZO kwa LADY JAY DEE
TUZO zaendelea kumiminika Kabati la TUZO kwa LADY JAY DEE
http://www.gongamx.com/wp-content/uploads/2014/07/jaydee.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/tuzo-zaendelea-kumiminika-kabati-la.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/tuzo-zaendelea-kumiminika-kabati-la.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago