Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Da...
Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai
kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya
Dar Es Salaam.

Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima
Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima
Akizungumza leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama
za show zake kutokana na kupanda kwa gharama za kuandaa muziki wake.
“Sasa hivi nafanya show kwa milioni 5 kwa show za nje ya Dar, yani
hiyo ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi , ndani ya Dar ni milioni 4,
na sasa hivi nipo na management na sasa hivi nina manager ambae
anasimamia kazi zangu” Alisema Nay Wa Mitego.