Robin Thickie azumzia wazi ni jinsi gani anavyompenda mke wake ambae wameachana na hawajaonana kwa zaidi ya miezi 4. vile vile kuhusu ...
Robin Thickie azumzia
wazi ni jinsi gani anavyompenda mke wake ambae wameachana na hawajaonana
kwa zaidi ya miezi 4. vile vile kuhusu album yake mpya amabyo ameandika
kwa ajili ya maisha yake ya ndoa na kuipa jina la Ex-Wife wake “PAULA”
na kuzungumzia kila kitu wazi.