Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja âKâ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji ...
Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja âKâ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja âKâ
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala
alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu
na mtangazaji huyo.
Mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.
âSina relation (uhusiano) kama huo na Perfect zaidi ya kazi tu,â
alisema Kajala huku Perfect akiwa hapatikani hewani kila alipotafutwa.