Archive Pages Design$type=blogging

NATAKA KUWAKOMESHA WALE WANAODAI KWA MUME WANGU AMEFUNGWA..." AUNT EZEKIEL AFUNGUKA MAZITO...!

    Muigizaji nguli wa tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel akipozi. MWIGIZAJI   nguli katika tasnia...


  
Muigizaji nguli wa tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel akipozi.
MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt, siku si nyingi staa huyo atakwenda kuweka makazi ya muda kwa mumewe Dubai hadi atakapopata ujauzito.
 Akizungumza na Amani hivi karibuni, rafiki huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe kwa kuogopa kusutwa na ‘matarumbeta’, alisema wengi wanadai mume wa Aunt yuko jela kwa hiyo ili kuwahakikishia kuwa kitu hicho hakipo ameamua aende kuishi Dubai kwa muda hadi atakaponasa ujauzito.

Aunt Ezekiel
 “Kama mipango yake itakwenda vizuri, baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kupita ataondoka na safari hii atakaa sana Dubai hadi Mungu atakapomjalia kupata mimba ndipo atarejea Bongo. Lakini baadaye ataondoka tena kwani hata kujifungua amependa akajifungulie Dubai,” alisema rafiki huyo.
Baada ya kupata nyepesinyepesi hizo, Amani lilimtafuta Aunt na kufanikiwa kukutana naye uso kwa uso alipoulizwa alisema hapendi kuweka hadharani mambo yake na mumewe lakini kuhusiana na ishu ya kwenda kuishi Dubai, muda si mrefu ataondoka.

 “Nadhani unajua kuwa mke na mume Mungu akiwajalia afya njema ni muhimu ndoa ijibu kwa kupata mtoto, sasa kuhusu kwenda kuishi Dubai ndiyo mipango yangu.
“Nataka kuwakomesha wale wanaodai kuwa mume wangu amefungwa! Sitaki kuwajibu kwa maneno, nataka kuwajibu kwa vitendo,” alitamba Aunt.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: NATAKA KUWAKOMESHA WALE WANAODAI KWA MUME WANGU AMEFUNGWA..." AUNT EZEKIEL AFUNGUKA MAZITO...!
NATAKA KUWAKOMESHA WALE WANAODAI KWA MUME WANGU AMEFUNGWA..." AUNT EZEKIEL AFUNGUKA MAZITO...!
http://1.bp.blogspot.com/-5Deh_afBeW0/U9CPWM5n0YI/AAAAAAAAdqQ/IYeqs1i4_3U/s1600/aunty.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-5Deh_afBeW0/U9CPWM5n0YI/AAAAAAAAdqQ/IYeqs1i4_3U/s72-c/aunty.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/nataka-kuwakomesha-wale-wanaodai-kwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/nataka-kuwakomesha-wale-wanaodai-kwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago