Instagram ni mtandao mwingine wa kijamii unaozidi kupata Wanachama wapya kila siku kutokana na aina yake ya kupost pichaz amb...
Instagram
ni mtandao mwingine wa kijamii unaozidi kupata Wanachama wapya kila
siku kutokana na aina yake ya kupost pichaz ambapo umekua ukitumiwa sana
hata na watu maarufu na kurahisisha kazi ya kusambaza habari kama
unavyoona baadhi ya mastaa kwenye hii post.
Hii ni caption ya Diamond kwenye hiyo picha hapo juu akiwa Dallas nchini Marekani kuhudhuria tuzo za Afrimma.
******************************
Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego yuko nchini Kenya kufanya video
yake mpya ambayo ameshea moja ya picha ya utengenezwaji wake kama
unavyoona hapa chini…
******************************
Saa kadhaa baada ya kusambaza single zake mbili mpya kwenye Radio
Stations mbalimbali Tanzania, mwimbaji Ali Kiba amepost hii kwenye
instagram na kuambatanisha na hiyo caption chini yake.
******************************
Ifuatayo ni TBT ya CMB Prezzo kutoka Kenya.
******************************
Jokate yuko nchini Kenya ambako kwa July 25 pekee ameonekana
akihojiwa kwenye vyombo viwili vya habari kama alivyopost hapa chini
akiwa na Mtangazaji William Tuva wa Citizen TV/Radio.
******************************
Hapa chini ni meneja wa kundi la Tiptop Connection ambae pia ni
meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale ambae ameshafika Marekani na
Diamond kuhudhuria tuzo za AFRIMMA.