Kenyan actress, Singer na Model ‘Nyokabi Gethaiga’ a.k.a ‘Kabi Gethaiga’ ambae yupo ndani ya ‘East African’ film ‘Going Bongo’ am...
Kenyan actress, Singer
na Model ‘Nyokabi Gethaiga’ a.k.a ‘Kabi Gethaiga’ ambae yupo ndani ya
‘East African’ film ‘Going Bongo’ ambayo ipo tayari kununuliwa rasmi
kwenye iTune LEO. Film hiyo ambayo imefanywa na mtanzania ambayo ni ya
kwanza iliyopo kwenye Level za kimataifa iliyohusisha actors na
producers toka Tanzania na Kenya.
Going BONGO’ ni Film ambayo inamzungumzia American doctor ambae
ameanza career yake ya udaktari mjini California United States of
America, kwa bahati mbaya anajitolea kwenda kufanya kazi ya udaktari
nchini Tanzania kwa muda wa mwezi mmoja bila kujua mazingira ya kazi ya
nchini humo. Katika story hii, daktari huyo baada ya kukumbana na ugumu
wa ufanyaji kazi katika nchi za afrika, baadae aliweza kuelewa na
kuzoea mazingira na kujifunza mambo mengi sana katika mila na desturi na
kuweza kufanya kazi vizuri kuliko alivyotegemea kutokana na watu
wanavyoishi na kushirikisha maisha yao ya kawaida na kazi ambapo aliweza
kujenga undugu na urafiki zaidi na wagonjwa katika jamii hiyo.
Film hii ambayo imefanyika jijini Dar Es Salaam Tanzania na Los
Angeles California imeleta changamoto kubwa sana katika utengenezaji wa
Filamu nchini Tanzania na East Africa kwa ujumla.
‘Nyokabi’ ambae ni actress tokea jijini Nairobi nchini Kenya ambae
ameshatokea kwenye production kubwa nchini kenya kama katika filamu ya
‘Half-Life – 2012′ na nyingine iliyofanyika jijini London ijulikanayo
kama ‘I Am Slave – 2010′. Inasemekana kuwa alikuwa miongoni mwa actress
ambao walifikiriwa kwenye Hollywood Film ’12 Years A Slave’ ambayo
nafasi hiyo alifanikiwa kuipata mwanadada ‘Lupita Nyong’o’ ambae
amejikusanyia umaarufu mkubwa sana na kujinyakulia Awards za kutosha
kuanzia ‘Oscars’ na juzi kuongeza nyingine ya ‘BET Awards’ kwenye role
ya ‘Best Actress’. Mpaka sasa msanii Lupita amepata ofa lukuki za filamu
huyo Hollywood kutokana na umaarufu alioupata kwenye filamu ya hiyo.