Archive Pages Design$type=blogging

Kahaba wa Tanzania Asimulia Jinsi alivyousambaza UKIMWI kwa Maelfu ya Wanaume

MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiash...


MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es Salaam na mingine ya Namibia, ameibuka na kueleza jinsi alivyotenda dhambi ya kusambaza Ukimwi kwa wanaume wakware.
 
Licha ya kukiri kufanya hivyo, akisema kwa siku alipanga hadi wanaume watano,tena bila ya kutumia kinga akisema alidhamiria kuusambaza ugonjwa huo hatari alioambukizwa akiwa katika shughuli za ukahaba.
 
Alijigundua ameathirika mwaka 2006. Hata hivyo, katika maelezo yake ameelezea kuijutia dhamira yake hiyo, akisema alisambaza kutokana na hasira aliyokuwa nayo dhidi ya mwanamume aliyemwambukiza.
 
“Nilimchukia sana kila mwanamume, yeyote aliyejiita mwanamume…nilishindwa tu kuwawinda na kuwaua, lakini dhamira yangu ilikuwa kutumia silaha yoyote kuua wanaume kwa sababu mmoja wao aliniua… 

“Ndani mwangu nilijisemea kamwe sitawaambia hali ya afya yangu, yeyote anayekuja kwangu nammaliza. Kwa namna walivyoniambukiza lazima niwaambukize’. 

"Sijui nimewaambukiza wanaume wangapi, lakini ni maelfu,” alisema mwanamke huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 32, alipotoa ushuhuda wake kanisani nchini Nigeria hivi karibuni.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Kahaba wa Tanzania Asimulia Jinsi alivyousambaza UKIMWI kwa Maelfu ya Wanaume
Kahaba wa Tanzania Asimulia Jinsi alivyousambaza UKIMWI kwa Maelfu ya Wanaume
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVk_GDea-DFmSrbwdaOm7b6XqNg6Xq8zK6hG0mh2xSvl7Y0thVvbOv9G4SpM0tMXLEo9W8n75nssUFzQszwJbTam9_mvxQVY6dbqkpH-qdD5wjtL8y7iQnzCBuaZMtRoP4KYPKXDQOADzQ/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVk_GDea-DFmSrbwdaOm7b6XqNg6Xq8zK6hG0mh2xSvl7Y0thVvbOv9G4SpM0tMXLEo9W8n75nssUFzQszwJbTam9_mvxQVY6dbqkpH-qdD5wjtL8y7iQnzCBuaZMtRoP4KYPKXDQOADzQ/s72-c/1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/kahaba-wa-tanzania-asimulia-jinsi.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/kahaba-wa-tanzania-asimulia-jinsi.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago