Msanii wa Hiphop mkongwe Tanzania Profesa Jay ametoa nafasi kwa mashabiki wake watakao penda kuonekana na kumpa ushirikiano kwenye ...
Msanii wa Hiphop mkongwe Tanzania Profesa Jay ametoa nafasi kwa
mashabiki wake watakao penda kuonekana na kumpa ushirikiano kwenye
kufanikisha video ya wimo wake mpya ‘Kipi Sijasikia’ Ft Diamond. Video
inafanyika weekend hii na maelezo yote yako hapa.
Profesa Jay aliweka hii post na maelezo haya kwenye Istagram Yake