Tattoo inaweza kuwa urembo, kumbukumbu au jambo lingine kwenye mwili wa binadamu na mara nyingi watu hutumia tattoo kuchora kile ki...
Tattoo inaweza kuwa urembo, kumbukumbu au jambo lingine kwenye mwili
wa binadamu na mara nyingi watu hutumia tattoo kuchora kile kinacholeta
maan flani kwenye maisha yao. Pamekuwa na aina tofauti za tattoo ili
kukidhi hitaji la wateja ndio maana kwa sasa kuna tattoo zinazofutika
kwa dawa au mionzi na hii inategemea ulichorwaje na kwa wino na mtindo
gani.