Archive Pages Design$type=blogging

HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI

Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uh...

Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani  onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki wakiwemo wazawa kibao waliojitokeza kumuunga mkono.
Diamond Platnumz akiendelea na makamuzi ndani huku akiwa amezungukwa na mashabiki wa Kansas City na wenggine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya jirani.
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakicheza pamoja nae wakati prezda wa wasafi akiendelea kufanya makamuzi ya nguvu ndani ya Kansas City, Missouri.
Diamond Platnumz akiendelea kufanya makamuzi ya nguvu ndani ya Kansas City MO mashabiki wengine wakipata picha mbili tatu na wengine wakiwa wanarekodi video.
Prezda na madansa wake wakiendelea kulishambulia jukwaa Kansas City.
Mashabiki wa Diamond wakiwa wamechanganyikiwa Prezda mwenyewe akiendelea na makamuzi ya nguvu.
Mashabiki kama unavyoona kwenye picha wakitaka japo wamguse prezda wa wasafi kwenye show yake ya Kansas City aliyofanya siku ya Jumapili July 6, 2014 na kuhudhuriwa na mashabiki kila kona ya Missouri na Kansas na wengine wakiwa wamekuja toka majimbo mengine ya jirani
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakiendelea kupagawa.
Diamond akiendelea kufanya vitu vyake.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi




 
Picha Na:- Vijimamboblog

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvydM8lyBFCtn_blloYbwdMsb7dL_ccpOdS59MCNJgaV3Fx2zDahmG1nw89LZy7jYEhSGzP9ZIPeImFm1h6QvjFrX3HkyxekdXvRR-MU6LCeE5vnuWBN9GK0w3qoaDZ1CFHLc3bWN6Cg5B/s1600/IMG_5447.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvydM8lyBFCtn_blloYbwdMsb7dL_ccpOdS59MCNJgaV3Fx2zDahmG1nw89LZy7jYEhSGzP9ZIPeImFm1h6QvjFrX3HkyxekdXvRR-MU6LCeE5vnuWBN9GK0w3qoaDZ1CFHLc3bWN6Cg5B/s72-c/IMG_5447.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hivi-ndivyo-diamond-platnumz.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hivi-ndivyo-diamond-platnumz.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago