Mwimbaji wa kike wa Bongo Flava, Ray C hatimaye amemjibu mmiliki wa top Band, TID baada ya kumtolea matusi siku kadhaa zilizopita al...
Mwimbaji wa kike wa Bongo Flava, Ray C hatimaye amemjibu mmiliki wa
top Band, TID baada ya kumtolea matusi siku kadhaa zilizopita
alipomuomba wazungumze.
Ray C ameyatoa majibu yake kupitia Instagram katika ujumbe alioukuwa wamewalenga pia mashabiki wake.
“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri
Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa
matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway
Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana
babaa………..”
Sintofahamu kati ya Ray C na TID ilikuja baada ya Ray C kuandika
kwenye post ya TID akimuomba waongee, “Come lets talk Tid ur the best
musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.”
Ingawa hakufafanua alichotaka kuzungumza nae, mmiliki huyo wa Top Band aliweka maelezo yake yenye matusi.
“Bich leave me alone am not ur type also I dont need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus fck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop.”