Kumezuga beef kati ya rappers wakubwa wa kundi la May Bach Music Group (MMG) linaloongozwa na Rick Ross. Rapper Meek Mill amemdiss ...
Kumezuga beef kati ya rappers wakubwa wa kundi la May Bach Music Group (MMG) linaloongozwa na Rick Ross.
Rapper Meek Mill amemdiss waziwazi rapper mwenzake Wale kuwa amekuwa
mchoyo wa fadhira na ameshindwa kusapoti albam yake inayokuja ya ‘Dreams
Worth More Than Money’.
Amedai kuwa jamaa hata kumtumia ujumbe kwa simu siku hizi hamtumii.
“”Wale just ain’t gone tweet a thing about my album…. He’s been
hating on me long time now …don’t even text me cornball! #UNOTMMG.”
Aliandika kwenye Tweet yake moja.
Muda mfupi baada ya Meek Mill kufunguka, Wale nae akaandika maelezo
marefu kwenye Instagram wakieleza kuwa yeye alimsapoti sana Meek Mill
wakati anatoa wimbo wake ‘I Don’t Care (Suicidal)’ lakini hakupata
sapoti kutoka kwa rapper huyo wakati anatoa ngoma yake ya ‘Razor
Freestyle au wimbo aliomshirikisha Mariah Carey ‘You Don’t Know What to
Do’