Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ...
Uhusiano
wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa
jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ya Young killer
kusemekana kumpiga msichana huyo.
Inavyosemekana majirani wa Young killer walimwambia Shettah kuwa akae
na Young Killer ili amfahamishe mwenzake tabia ya kumpiga msichana sio
nzuri,sikiliza maongezi haya yalikuwa baina ya Young Killer,Shettah na
Soud Brown.
Bonyeza play kusikiliza.