Archive Pages Design$type=blogging

Going Bongo kuwa filamu ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes - Video

Filamu ya Going Bongo inatarajiwa kuwa filamu ya kwanza Afrika Mashariki kukubalikwa kuuzwa kupitia mtandao wa iTunes. Filamu hiyo itaa...



Filamu ya Going Bongo inatarajiwa kuwa filamu ya kwanza Afrika Mashariki kukubalikwa kuuzwa kupitia mtandao wa iTunes. Filamu hiyo itaanza kuuzwa kupitia iTunes July 10 mwaka huu.
Going Bongo ni filamu ya kwanza kufanyika nchini Tanzania kuhusu daktari wa Marekani (nafasi iliyochezwa na mtanzania Ernest Napoleon aka MC Napo) ambaye ana hamu ya kumfurahisha bosi wake katika kazi yake kwenye hospitali ya Beverly Hills jijini Los Angeles.
promo7jpg Ernest Napoleon
Itazame trailer ya filamu hiyo hapa:


Baada ya kuhudhuria hafla iliyoanzishwa na bosi wake, anajikuta anajitolea kimakosa kwenda kufanya kazi kwenye hospitali ya Tanzania yenye hali ngumu kwa mwezi mzima.
promo4
Filamu hiyo itazinduliwa Dar, August mwaka huu.
promo6

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Going Bongo kuwa filamu ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes - Video
Going Bongo kuwa filamu ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes - Video
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/promo7jpg.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/going-bongo-kuwa-filamu-ya-kwanza.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/going-bongo-kuwa-filamu-ya-kwanza.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago