Msanii Beyonce aka Mrs Carter au unaweza ukamuiya Mama Blue Ivy. Ametoa kiasi cha dola za kimarekani Milioni 7 kwa watu wasio na mak...
Msanii Beyonce aka Mrs Carter au unaweza ukamuiya Mama Blue Ivy. Ametoa kiasi cha dola za kimarekani Milioni 7 kwa watu wasio na makazi katika state ya TEXAS ambapo ndipo msanii huyo alipotokea.
Rev. Rudy Rasmus ambae ndio aliewafungisha ndoa Beyonce na jay Z mwaka 2008 amefunguka Kwa kusema kuwa “On The RUN” star huyo pamoja na kwamba yupo “on the run” lakini hajawahi hata siku moja kusahau wasio nacho na nyumbani alipotoka. Kiasi hicho cha pesa kitawatoa kiasi kikubwa cha watoto, wanawake na wanaume wengi ambao hawana makazi na sehemu za kuishi mjini Taxas, kitu ambacho State ya Texas imemshukuru sana kuweza kufikiria watu hao ambao hawajiwezi.