Hizi ni keki alizoletewa mama Diamond leo, ingawa kwenye shugh...
Hizi ni keki alizoletewa mama Diamond
leo, ingawa kwenye shughuli hii msanii Diamond hakuwepo Bongo basi
unaambiwa zawadi ya mama ya gari jipya aina ya Toyota Lexus New Model
ilibidi mama apewe tu lenye thamani ya sh Mil 38.1.
Mtangazaji wa Star TV Sauda Mwilima akifanya mahojiano kidogo na Msanii mkongwe wa Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay
Young Killar pia alikuwepo kwenye sherehe hii
Mkubwa Fella kutoka TMK, Sauda pamoja na Prof Jay
Mchuma aliopewa Mama ndio huu sasa… Shidaaaaaaaa kama namwona Bi Sandrah
Madee akisalimiana na Prof Jay
Dada yake Diamond akiwa na Mama katikati pamoja na Wema Sepetu shemeji yetu
Fella na SK hawa ni wadau wakubwa wa Diamond
Picha kwa hisani ya http://harakatizabongo.blogspot.com