Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewashauri wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wana...
Dar es Salaam. Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
amewashauri wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na CCM kuacha
kuzunguka mikoani kufanya mikutano inayoeleza misimamo yao kuhusu
mchakato wa Katiba Mpya kwa kuwa haina tija kwa taifa.
Ameonya kuwa
mikutano hiyo inajenga mwelekeo mbaya kwa taifa na SOMA ZAIDI HAPA