Ni dunia ya maajabu yasiyoisha, matukio ya kushangaza kila kukicha. Na hili ni tukio jingine. Nchini Nigeria kuna taarifa kuwa ...
Ni dunia ya maajabu yasiyoisha, matukio ya kushangaza kila kukicha. Na hili ni tukio jingine.
Nchini Nigeria kuna taarifa kuwa mwanamke mmoja amejifungua mtoto
baada ya kutunza ujauzito kwa miezi tisa lakini cha kusikitisha ni
kwamba alijifungua mtoto ambaye ana kichwa cha nyani.
Muuguzi wa hospitali aliyemsaidia mama huyo kujifungua alieleza kuwa
alitokwa na damu nyingi sana hali iliyowasababisha kupanga kumfanyia
upasuaji asijifungue kwa njia ya kawaida.
Walipofika katika chumba cha upasuaji, mwanamke huyo alianza kusukuma
mtoto na kuonesha kila dalili za kujifungua bila upasuaji lakini mtoto
wake alitanguliza miguu badala ya kichwa.
Baada ya kujifungua wauguzi walishikwa na butwaa kuona mtoto mwenye
miguu kiwiliwili cha binadamu lakini ana sura ya nyani na alifariki muda
mfupi baadae.