Archive Pages Design$type=blogging

Victoria Kimani katoa dili,kama ukishinda laki 8 za Kitanzania zinakuhusu.

  Mwanadada kutoka kwenye ardhi ya Kenya Victoria Kimani ametoa dili kwa wewe shabiki wake au unaefatilia muziki wake,ishu hii ...

Victoria-Kimani 
Mwanadada kutoka kwenye ardhi ya Kenya Victoria Kimani ametoa dili kwa wewe shabiki wake au unaefatilia muziki wake,ishu hii kaitangaza baada ya wiki chache kutoa wimbo wake wa Prokoto.
Cha kufanya ni wewe kujirekodi wakati unacheza huo wimbo we cheza staili yoyote unayohisi inafaa kwa wimbo wa Prokoto,halafu iweke kwenye akaunti yako ya Instagram kwa kuanza  kwa #protoko na kumtag Victoriakwa jina la@victoriakimani.
Endapo staili yako itapita kwa kupata like zaidi na comment nyingi kuna kitita cha $500 ambayo sawa na laki nane za Kitanzania kwa Mshindi nafasi ni yako sasa.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Victoria Kimani katoa dili,kama ukishinda laki 8 za Kitanzania zinakuhusu.
Victoria Kimani katoa dili,kama ukishinda laki 8 za Kitanzania zinakuhusu.
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/06/Victoria-Kimani.jpg?resize=506%2C332
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/victoria-kimani-katoa-dilikama.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/victoria-kimani-katoa-dilikama.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago