Katika pita pita ndani ya Facebook nikakutana na Francis Sononga, kwenda through picture zake nikakuta ni mmoja kati ya Gentleman’s am...
Katika pita pita ndani
ya Facebook nikakutana na Francis Sononga, kwenda through picture zake
nikakuta ni mmoja kati ya Gentleman’s ambao wanajua ni jinsi gani ya
kuvaa na kupendeza kutokana na mwili wake. Look Good Francis, unahitaji
Followers waweze kuona na kujaribu your Style.