Archive Pages Design$type=blogging

Ndoa 115 za Jinsia Moja zafungwa kwa wakati mmoja Nchini Canada - Picha/Video Zipo hapa angalia jinsi ilivyokuwa

Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya...

wedding2
Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini Toronto, Canada.
weddind
Ndoa hizo zimefungwa kwa pamoja na kuwakutanisha wapenzi wa jinsia moja kutoka maeneo mbalimbali duniani kusherekea nguvu ya mapenzi yao.
Meya wa Toronto Norm Kelly amesema wanandoa hao wamekutana na kufurahia hatua hiyo muhimu ya kufunga pingu za maisha.
wedding3 
 Takribani nchi 15 duniani sasa zimeruhusu mapenzi ya jinsia moja .
lesbian
Unaweza kuangalia video hapo chini kuona jinsi tukio hilo lilivyokuwa.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Ndoa 115 za Jinsia Moja zafungwa kwa wakati mmoja Nchini Canada - Picha/Video Zipo hapa angalia jinsi ilivyokuwa
Ndoa 115 za Jinsia Moja zafungwa kwa wakati mmoja Nchini Canada - Picha/Video Zipo hapa angalia jinsi ilivyokuwa
http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/06/wedding2.jpg?resize=520%2C361
https://i.ytimg.com/vi/SlSQe9ZJMC8/default.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/ndoa-115-za-jinsia-moja-zafungwa-kwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/ndoa-115-za-jinsia-moja-zafungwa-kwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago