MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha za...
MISS
Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu
wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa
wakidendeka kwa raha zao.
Salha
Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo
maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira
Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya
kijamii, walimtafuta Salha na hakupokea simu lakini alipotafutwa
Abdullatif na kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.”
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.”