Msichana mwenye umri wa miaka 19, Isabella Yun-Mi Guzman aliyekuwa anakabiriwa na kesi ya kumuua mama yake mzazi kwa kumchoma visu m...
Msichana mwenye umri wa miaka 19, Isabella Yun-Mi Guzman aliyekuwa
anakabiriwa na kesi ya kumuua mama yake mzazi kwa kumchoma visu mara 151
ameachiwa huru baada ya kugundulika kuwa ana matatizo ya akili.
Daily
Mail imeripoti kuwa msichana huyo wa Colorado, Marekani amekutwa hana
hatia na mahakama baada ya vipimo vya madaktari kuonesha kuwa ana
matatizo ya akili na hata wakati anafanya tukio hilo hakuwa sawa
kiakili.
Mahakama hiyo imeamua kuwa Isabela apelekwe hospitali kuanza matibabu
badala ya kwenda jela kama ilivyokuwa inatarajiwa na wengi.
Upelelezi wa polisi ulieleza kuwa msichana huyo alimuua mama yake
aitwae Yun Mi Hoy kwa kumchoma visu usoni mara 35, shingoni na sehemu
ngingine za mwili wake.
Isabella anaelezwa alikuwa anamtishia mama yake mara kwa mara kuwa atamuua