MWANAMITINDO wa kimataifa wa hapa nchini na Miss Tanzania 2001 anaefanya kazi yake hiyo nchini Marekani Millen Magese ameiomba serikali ...
MWANAMITINDO wa kimataifa wa hapa nchini na Miss Tanzania 2001
anaefanya kazi yake hiyo nchini Marekani Millen Magese ameiomba serikali
kumpatia eneo ambalo atalitumia kujenga hospitali maalum ya
kushugulikia afya ya wanawake.
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali
waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis
inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla. Millen
anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya mwanamke
kushindwa kupata siku zake za mwezi katika hali ya kawaida na yenye
kuleta madhara kwa afya yake hususan kwenye uzazi.
Millen alisema kuwa___ Soma Zaidi hapa/Picha Zaidi