Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupi...

Nakanusha
tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia
gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za
Mungu na mama yangu mzazi tu.