Archive Pages Design$type=blogging

KUZOMEWA SIO TATIZO KWA BRAZIL - SCOLARI

  KOCHA Luiz Felipe Scolari amesema kitendo cha mashabiki kuwazomea wachezaji wa tiimu ya Taifa ya Brazil katika ushindi wa bao 1-0...

 418176_heroa
KOCHA Luiz Felipe Scolari amesema kitendo cha mashabiki kuwazomea wachezaji wa tiimu ya Taifa ya Brazil katika ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Serbia jana ijumaa haina tatizo kwake na kwa wachezaji wake kwani wapo tayari kwa mazingira kama hayo. 
Selecao walihangaika kuvunja ngome imara ya Serbia katika dimba la Sao Paulo mpaka Fred alipofanikiwa kupenya katika dakika ya 58 na kufunga bao hilo pekee. 
Mashabiki walikosa uvumilivu na kujikuta wakiwazomea wachezaji wao kwa soka `mbofu mbofu` dhidi ya Serbia, lakini Scolari hana tatizo na kitendo hicho.
“Ni kitu cha kawaida,” Kocha huyo aliwaambia waandishi wa habari wa Brazil. “Ilitokea Goiania na sehemu nyingine”. 
“Haikuwa tatizo kwa mchezaji wangu yeyote. Wako tayari kwa hili”. 
“Lakini baada ya filimbi ya mwisho, asilimia 65 ya mashabiki 67,000 waliridhishwa”

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: KUZOMEWA SIO TATIZO KWA BRAZIL - SCOLARI
KUZOMEWA SIO TATIZO KWA BRAZIL - SCOLARI
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/418176_heroa.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/kuzomewa-sio-tatizo-kwa-brazil-scolari.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/kuzomewa-sio-tatizo-kwa-brazil-scolari.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago