Baada ya watu kusingizia na kuongea mengi kuhusu Lupita’s Boyfriend, inasemekana mwanadada huyo Oscar Winner na Star wa Movie “12 Year...
Baada ya watu
kusingizia na kuongea mengi kuhusu Lupita’s Boyfriend, inasemekana
mwanadada huyo Oscar Winner na Star wa Movie “12 Years of Slave” anatoka
na Rapper raia wa nchini Somali “K’Naan” ambae alijichukulia umaarufu
sana miaka ya nyuma kwa nyimbo yake aliyoimba kwa ajili ya mashindano ya
Kombe La dunia na kununuliwa na Coca Cola.
Source na vyombo vya habari vimekuwa vikifiatilia swala hilo tokea
March mwaka huu, inasemekana Rapper huyo ana familia yake yaani mke na
watoto wawili ambao wanaishi nchini Canada, ambapo ameachana nao sababu
ya mwanadada Lupita Nyong’o.
Wapenzi hawa wameonekana sana na maeneo mengi hata siku ya Tuzo za
Oscars ambapo mwanadada lupita alijipatia umaarufu zaidi duniani,
wapenzi hawa walionekana back stage na wakati wakiondoka maeneo hayo
wakiwa wamekumbatia na picha za hapa na pale kutoka kwa mapaparazi wa
nchini marekani kupatikana na kuthibitishisha tuhuma hizo ni zankweli.