“Keeping Up with the Kardashians” star Khloe Kardashian ndani ya Durban South Africa kwa ajili ya kumpa support boyfriend wake French...
The couple bado hawajaanza kumwaga picha za pamoja mitandaoni wakiwa ndani ya Durban lakini watu wanasubiri wanajua lazima MTV watatoa hints ambazo wataachia kwa Fans waweze kuona. Hii sio mara ya kwanza kwa mwanadada ‘Khloe’ kufika SA, mara ya mwisho mwaka 2010 akiwa na dada yake ‘Kourtney Kardashian’.