Jennifer Lopez ambaye ana umri wa miaka 44 na mama wa watoto mapacha bado anaonekana kama ni msichana wa miaka 25 hivi kwa jinsi alivyoj...
Jennifer Lopez ambaye ana umri wa miaka 44 na mama wa watoto mapacha
bado anaonekana kama ni msichana wa miaka 25 hivi kwa jinsi
alivyojiweka.
J
Lo ambaye miaka ya 2000 alikuwa gumzo kwa urembo wake uliowanasa mastaa
kibao, amekava jarida la Billboard la hivi karibuni, jarida ambalo
linaheshima kubwa.
Hizi ni baadhi ya picha zilizotoka awali.