Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa ‘msiba’ Chadema, baada ya kusomba wanachama wa ch...
Katibu wa
Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa ‘msiba’
Chadema, baada ya kusomba wanachama wa chama hicho wanaosoma katika Chuo Kikuu
cha Mtakatifu Augustine (Saut), tawi la Mwanza, wakiongozwa na Rais wa Serikali
ya Wanafunzi (Sautso), Philbert Saimon.
Wanachama hao wa
Chadema waliamua kuhama chama hicho jana, katika mkutano wa hadhara uliofanyika
kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Nyamalango, nje kidogo ya Chuo cha Saut, ambapo
Nape alikuwa mgeni rasmi.
Akieleza sababu
zilizomfanya ahame Chadema, Saimon
alisema: SOMA ZAIDI HAPA