Katika hatua nyingine Wajumbe wa Baraza kuu la Chadema leoJune 23 walikua na mkutano mkuu wa chama hicho kwa umma ambao ulihu...
Athumani H. Balozi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chadema mkoa wa Tabora ndiye aliyesoma taarifa hiyo kwa niaba ya Wajumbe wote ameanza kwa kusema>>’Sisi ni wajumbe wa Baraza Kuu na mkutano mkuu wa Chama ambapo pamoja nasi tumejumuika na wenyeviti wa mabaraza ya WANAWAKE WA MIKOA YA TABORA NA SINGIDA, MWENYEKITI WA VIJANA MKOA WA TABORA pamoja na MUASISI WA CHADEMA kutokea mkoa wa SINGIDA na mwenyekiti wa M4C wilaya ya SINGIDA hivyo tunafanya jumla ya tuliokutana kwa jambo hili kuwa ni wanachadema 82’
‘Tumewaita kuwaeleza namna ambavyo tumekuwa tukisononeshwa na
BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI