Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil, Ronaldo De Lima amezungumzia adhabu ya FIFA kumfungia Suarez kutojihusisha na mpira kw...
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil, Ronaldo De Lima
amezungumzia adhabu ya FIFA kumfungia Suarez kutojihusisha na mpira kwa
kipindi cha miezi minne na kukosa mechi 9.
“Ninajua kung’atwa kunaumiza. Watoto wangu wadogo walikuwa
wananing’ata na nilikuwa nawaadhibu nyumbani kwangu. Ningewapelekaz
kwenye chumba chenye giza totoro na wanyama wabaya wa kutisha!
Ninafikiria kutoweza kucheza kwa miezi minne ni sawa kwa adhabu ya mtu
mzima.”
“Tunapaswa kutumia mpira wa miguu kwa mazuri yanampasa mtu, sio kwa vitu viovu.”