David Silva kwanza alijitengenezea jina akiwa katika timu ya “La Liga side Valencia” na kuja kujulikana na Dunia baada ya kujiunga na ...
David Silva kwanza alijitengenezea jina akiwa katika timu ya “La Liga side Valencia” na kuja kujulikana na Dunia baada ya kujiunga na Manchester City in 2010. Spanish player huyu ni ambae nafasi yake ya kutbeza mpira na kutoa pasi zanushindi ikamfanya kuwa mchezaji wa thamani ndani ya Man City na Spain National Team. Mchezaji huyo anasadikiwa kuwa na utajiri kati ya pauni za kiingereza £37 to £42.9million.
9. Gareth Bale (Tottenham)
Pamoja na kuwa thamani ya mchezaji ‘Gareth Bale’ itaongezeka msimu huu kwankiasi cha £85million, kwa maneno ya chini chini kutoka kwenye vilabu vya ‘Real Madrid’ na ‘PSG’ kutaka kumchukua. Kwa sasa mchezaji huyu ana thamani ya utajiri kati ya £37Million na £43million.
8. Wayne Rooney (Manchester United)
Wayne Rooney anaweza akaondoka OLD Trafford katika hii Summer baada ya kuivhezea vizuri timu hiyo kwankipindi cha miaka 9. The former Everton star aliingia ndani ya Manchester United akiwa kijana mdogo ambae amechukuliwa kwa dau kubwa la kiasi cha £28million mnamo mwaka 2004, lakini sasa anasema hayipo “Happy” na mazingira aliyonayo ndani ya timu hiyo. Huku akiwa anakimbizwa na timu kubwa kama Real Madrid, PSG na Barcelona kwa dau kubwa. Kwa sasa thamani yake mchzaji huyo ni kati ya £38.3 and £44.5million, kwa hiyo kama Manchester United watatumia busara inabidi waongeze dau ili aweze kubaki lakini pia kumbuka kuwa mchazaji huyo hayuko “Happy” kuwepo kwenye club ya Manchester United.
7. Mario Balotelli (AC Milan)
Mario Balotelli anaweza akawa hajakuwa na muda mzuri katika “Premier League” akiwa na Manchester City, lakini ameonyesha dhahili kuwa ni “world class player” baada ya kurudi Italy na kujiunga na AC Milan. Magoli yake 12 katika mechi 13 games toka ameingia kwenye timu hiyo imesaidia sana kuisukuma timu hiyo kuingia kwenye “Champions League place” na ameendelea kuochezea vizuri sana tomu ya taifa ya Italy. Mchezaji huyu kwa sasa ana thamani ya kati ya 38.7 na £45million, kuongezeko huo ni baada ya malipo yaliyofanywa na AC Milan kumnunua toka Man City mwezi January.
6. Radamel Falcao (Monaco)
Radamel Falcao inaeemekana ni mmoja kati ya “Best Striker in the World” baada ya kufanya maajabu akiwa na Atletico Madrid na ripoti inasema club ya nchini FRANCE ya Monaco lazima watakuwa wamelipa pesa nyingi sana kumpata. Ambae ameingia kwa thamani ya £51Million msimu wa hii Summer. Ambapo kwa sasa thamani yake ji kati ya £39.4 na £45.7million.
5. Sergio Aguero (Manchester City)
The scorer of that famous last-gasp title-winning goal for Manchester City, Sergio Aguero definitely seems like a player who deserves his place among the world’s most valuable players. The Argentine has already moved for big money twice in his career so far, joining Atletico Madrid for £19million as a youngster, and later City for around £35million. Still only 25, Aguero has 171 career goals at club level, as well as 18 in 45 appearances for the Argentina national team. This now makes him worth between £41.3 and £47.9million.
4. Eden Hazard (Chelsea)
One of the most highly-rated and in-demand young players in the world for some time, Eden Hazard finally made a keenly-anticipated move to Chelsea from Lille last summer for £27million. He has since shown his ability to perform on the biggest stage, earning himself a nomination for PFA Young Player of the Year after an excellent season of 13 goals and 14 assists in all competitions. Real Madrid and Barcelona have shown an interest in him before, but would now have to pay between £47.2 and £54.8million for him, as his value has shot up in the last year.
3. Edinson Cavani (Napoli)
Napoli striker Edinson Cavani is likely to move for big money this summer as the likes of Chelsea, Manchester City and Real Madrid circle, but he may end up moving for lower than his true market value, due to his minimum release fee clause of £53.5million. This would still make him one of the most expensive players of all time, but supposedly he is worth as much as £57.6million due to his current stats and potential for improvement in a bigger side.
2. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Cristiano Ronaldo became the most expensive footballer of all time when he joined Real Madrid from Manchester United for £80million in 2009, and he has only enhanced his reputation further during his time in Spain, scoring an incredible 201 goals in 199 games for the Bernabeu club. He is supposedly unsettled this summer and may beat his own record as he moves for around £100million to big-spenders PSG or Monaco. This would apparently be a fair reflection of his market value, which has risen as high as £100.9million.
1. Lionel Messi (Barcelona)
Certainly the best player in the world and perhaps the best of all time, Lionel Messi has been phenomenal for Barcelona over the last few years, scoring obscene amounts of goals to help them conquer La Liga and Europe. Although he is almost certainly not for sale at any price, he is regarded as being the most valuable player on the planet by far, and could command a transfer fee of between £184.8 and £214.7million. This is well ahead of anyone else on the list, and that is perhaps partly down to the fact that Barca would surely never sell him, highlighting his incredible importance and influence at the Nou Camp. Like Busquets and Iniesta, Barca have also never had to pay a transfer fee for him, showing that their youth academy is one of the best cost-effective ways of getting the best talent in the world.