‘Floyd Mayweather Jr’ World Heavy Weight Champion alitoa offer ya kumlipa mwanadada ‘Nicki Minaj’ $50,000 ili tu aonekane kwenye bi...
Mayweather alikodisha MGM ballroom huko mjini Vegas ili afanye birthday party ya mwanae ‘Iyanna Mayweather” ambae ni Fan wa Nicki Minaj wiki iliyopita. Kwa mujibu wa waliokuwepo katika party hiyo, Inasemekana Nicki alikaa takribani saa moja tu, akiwa sambamba na Iyanya, wakipiga picha na kufanya maongezi kidogo sababu Iyanya anapenda sana kazi za Nicki Minaj na mzazi wake huyo aliamua kumpa nafasi mwanae ya kukutana na Idol wake.
Kwenye birthday party ya Iyanya ya mwaka jana alifanyiwa surprise na baba yake kwa kufanikiwa kumleta msanii Justin Bieber.