Diamond Platnumz, Trey Songz, Miguel Mafikizolo, Donald na wasanii wengine, Ijumaa hii waliungana na timu ya MTV Base kwenye mkutano na ...
Diamond Platnumz, Trey Songz, Miguel Mafikizolo, Donald na
wasanii wengine, Ijumaa hii waliungana na timu ya MTV Base kwenye
mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Durban, Afrika Kusini.
Katika mkutano huo, wasanii hao walizungumza masuala mbalimbali
kuhusiana na nia ya wao kuungana pamoja na kushirikiana ili kuupeleka
muziki wa Afrika mbele zaidi. Katika mkutano huo ambao Bongo5
ilihudhuria jijini humo, Mafikizolo walithibitisha kuzungumza na Diamond
kuhusu kufanya kazi pamoja. Hizi ni picha za tukio hilo.
Oskido