Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao. ...
Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya
kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao.
“HABARI MARAFIKI ZANGU NAHITAJI MODELS KIKE/KIUME KWA AJILI YA VIDEO SO ATAKAE ONA ANAWEZA KUNISUPPORT ANICHEK KWA INSTAMSG.” Dully Sykes ameandika kwenye Instagram