Archive Pages Design$type=blogging

Dengue Hatari:- H.Baba alazwa muhimbili kutokana na ugonjwa wa dengue

Msanii wa muziki na filamu H.Baba amelazwa usiku wa kuamikia leo katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada ya kugundukika...

Msanii wa muziki na filamu H.Baba amelazwa usiku wa kuamikia leo katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada ya kugundukika anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue.
H.Baba akiwa amelazwa hospital
H.Baba akiwa amelazwa hospital
Frora Mvungi ambae ni mke wa H.baba amesema:Dengue, Muhimbili now saa nane hii, usiku hali ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe Muhimbili Hospital.amegundulika ni dengue. thanx to god anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager Yahya for your greatest help.mungu akuzidishie.asanteni pia my fans kwa maombi yenu.
10375766_265788423613579_221035396_n
H.Baba akipata dripi hapo jana kabla ya kuzidiwa na kukimbizwa Muhimbili
H.Baba alianza kujisikia vibaya jumatano (Juni 5) wakati anajiandaa kwenda kumuaga mtayarishaji wa filamu na vipindi vya TV , marehemu George Tyson aliyofariki wa ajali ya gari may 30.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Dengue Hatari:- H.Baba alazwa muhimbili kutokana na ugonjwa wa dengue
Dengue Hatari:- H.Baba alazwa muhimbili kutokana na ugonjwa wa dengue
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/06/H.Baba-akiwa-amelazwa-hospital.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/dengue-hatari-hbaba-alazwa-muhimbili.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/dengue-hatari-hbaba-alazwa-muhimbili.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago