MKITO ni website ambayo inakuja kwa kwa kasi sana kwa hivi ...
MKITO ni website ambayo inakuja kwa kwa
kasi sana kwa hivi sasa hapa Tanzania na inajishughulisha na uuzaji wa
nyimbo za wasanii bila kubagua ni nyimbo gani kuanzia Bongo Fleva,
Nyimbo za dini, Taarabu nakadhalika.
Amini ni moja wapo ya wasanii
wanaotarajia kutoa wimbo wake mpya kesho kutwa na wimbo huu utaupata
kupitia Mkito kwa kudownload FREE au kuununu. Sasa kwenye kudownload
free kutakuwa na kitu kama tangazo linaanza mwanzo kabisa kwenye wimbo
lakini ukitaka kuununua wimbo huu basi hutosikia kabisa kitu chochote
katika wimbo huo namaanisha tangazo. Na bei yake ni ndogo kabisa hebu
fanya kama unaingia huku www.mkito.com ili kujifunza mengi mengi