Popstar ‘will.i.am’ aliingia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twitter na kuanza kulisema vibaya shirika la ndege la nchini marekani ...
Popstar ‘will.i.am’
aliingia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twitter na kuanza kulisema
vibaya shirika la ndege la nchini marekani ‘United Airline’ kwa huduma
zao mbaya baada ya kumtoa kwenye 1st Class Lounge wakiamini kuwa
Membership card yake ni feki. The Black
Eyed Peas rapper aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter ambao una
followers zaidi 12M baada tu ya kuondolewa na wafanyakazi wa shirika
hilo kwa kusema card yake ni feki.
will.I.am posted: “#unitedAIRLINES is the worse. I’m a member and I
have my card to prove it. but they tell me my card is fake & kick me
out the lounge #ouch.”