Askari wa Usalama barabarani (trafik) eneo la Makumbusho, jijini ...
Askari
wa Usalama barabarani (trafik) eneo la Makumbusho, jijini Dar wakimpiga
Dereva wa gari ambaye alijitambulisha kama 'mwanajeshi'! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu baada ya askari hao 'kupishana Kiswahili', lol!!.
(Picha na mdau)