Archive Pages Design$type=blogging

The Amazing Spider-Man 2 yakamata nafasi ya kwanza kwenye box office

 Filamu ya “The Amazing Spider-Man 2″ imekamata nafasi ya kwanza kwenye box office (majumba ya sinema) nchini Marekani katika weekend y...

amazing-spider-man
 Filamu ya “The Amazing Spider-Man 2″ imekamata nafasi ya kwanza kwenye box office (majumba ya sinema) nchini Marekani katika weekend ya May 2-4, 2014.
Ikiwa na mastaa Andrew Garfield, Emma Stone na Jamie Foxx, filamu hiyo iliingiza dola milioni 35.5 ijumaa peke yake na kufikisha jumla ya dola milioni 91 siku tatu tangu itoke.
Baada ya kukaa kwenye nafasi ya kwanza wiki iliyopita, filamu ya Cameron Diaz na Nicki Minaj, “The Other Woman” imeshuka hadi nafasi ya pili. Filamu hiyo ya comedy imeingiza dola milioni 4.8 siku ya Ijumaa na kumaliza weekend hii ikiwa imeingiza jumla ya dola milioni 15.1.
Filamu zingine zilizopo kwenye tano bora ni “Heaven is for Real” ($8.5 million), “Captain America:The Winter Soldier” ($7.6 million) na “Rio 2″ ($7.5 million)

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: The Amazing Spider-Man 2 yakamata nafasi ya kwanza kwenye box office
The Amazing Spider-Man 2 yakamata nafasi ya kwanza kwenye box office
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/05/amazing-spider-man.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/the-amazing-spider-man-2-yakamata.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/the-amazing-spider-man-2-yakamata.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago