Msanii Mrap Lion ambae ameingia kwenye uigizaji wa Short Film ambazo zinatoa mafunzo kwa vijana wa kuanzia HIGH SCHOOL, College na Un...
“Ndoto Teja” ni series ya “Short Films” ambayo imeandikwa na kufanywa na Director Frank ‘Gonga’ Mgoyo na kuchezwa na Mrap Lion pamoja na mwanamitindo Myler Nyangasa, filamu hii imeangalia zaidi ukuwaji wa matumizi ya vilevi kuanzia pombe, bangi na madawa ya kulevya kiasi cha kusababisha kuharibu maisha ya vijana wengi nchini.
‘Ndoto Teja’ ni “Filamu Fupi” ambazo zitakuwa zinakuja kila baada ya muda mfupi ambazo zote zitakuwa zinalenga Jamii ya Mtanzania kwa ujumla, zaidi kabisa ni upande wa Burudani na Vijana.