Senator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi k...
Uhuru
na Ruto walishindwa kabisa kuzuia mshangao wao na kuanza kuongelea vazi
hilo huku wakicheka kama vile ni kituko kuwa kiongozi kama Sonko amevaa
jean iliyochanika chanika huku juu akiwa amevalia suti na tai nzuri
tu.