Rich Mavoko baada ya kutua jijini Bujumbura Rich Mavoko yupo nchini Burundi ambako amepata dili na kampuni iitwayo Ikoh ya nchini hum...
Rich Mavoko baada ya kutua jijini Bujumbura |
Rich Mavoko yupo nchini Burundi ambako amepata dili na kampuni
iitwayo Ikoh ya nchini humo ambayo itahusika na yeye kuwanyanyua wasanii
wa huko. Mavoko amealikwa kuwapa moyo wasanii wa Burundi na pia katika
mkataba huo atatumbuiza kwenye tamasha kubwa litakalofanyila December
mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo chetu inasemekana ni deal nono ambalo
litampeleka Mavoko kwenye hatua nyingine. Akisita kuweka wazi mkataba
huo, Mavoko amesema Kwa ufupi tupo kwenye maongezi ya huo
mpango kuhusu wasanii wa Burundi, mambo mazuri.”
Hizi ni picha za zingine za Mavoko akiwa Burundi.