Dada Luminita Perijoc, aliye na muonekano kama wa Angelina Jolie amemlazimisha dereva taksi kufanya nae mapenzi na kumchoma kisu...
Dada Luminita Perijoc, aliye na muonekano kama wa Angelina
Jolie amemlazimisha dereva taksi kufanya nae mapenzi na kumchoma kisu
mara sita baada ya kushindwa kufanya mara ya tatu.
Luminita Perijoc, 31, aliripotiwa kumvamia na kumvutia Nicolae Stan,
35, ndani ya nyumba alimokuwa anaishi mara baada ya jamaa huyo kwenda
kumpelekea vinywaji.
(Dada aliyefanana na A. jolie)
Dada huyo mkazi wa Tulcea, mashariki mwa Romania, alimvamia jamaa huyo
na kumvuta ndani na kumlazimisha kuvua nguo huku akimtishia kumchoma
kisu.

(Jamaa aliyechomwa kisu)
Baada ya jamaa huyo kutotimiza amri ya kufanya mara ya tatu, dada huyo
alimchoma kisu mara sita kabla ya jamaa kufanikiwa kutoroka na kuwaita
polisi.

(Angelina jolie mwenyewe)
Baada ya kukamatwa dada huyo alikili makosa na alifikishwa mahakamani na
kuhukumiwa kifungo kilichopunguzwa baadae baada ya kujitetea.
Nydailynews