Archive Pages Design$type=blogging

AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA

MSANII wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chu...

MSANII wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
 
Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
Aunty alisema hayo juzi Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya hakimu Agustina Mbando, akikanusha taarifa ya wadhamini wa Ivon, Christopher Mwaseba na Anthon Mwaseba walioiambia mahakama kuwa mtuhumiwa alikuwa nyumbani akimuuguza mama yake.
 

Ivon Bigilwa aliyemchana Aunt kwa chupa.
Msanii huyo alisema wadhamini hao wanaidanganya mahakama kwa kuwa hivi karibuni alikuwa nchini China na aligongana naye uso kwa uso.
 
Kutokana na hilo, Hakimu Mbando aliwaonya wadhamini hao kwa kuidanganya mahakama na kuwataka wampeleke mtuhumiwa huyo mbele ya mahakama hiyo Juni 10, mwaka huu

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA
AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA
http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LtGQ**E0hzUCEv2c8I2xgG45fNzXIASgXEH-in3K0-dZisRJPt1MN7NjK28aOK9lyX0LAzgCm4bfdx0PESgk**E/AUNT1.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/aunt-ezekiel-uso-kwa-uso-na-mbaya-wake.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/aunt-ezekiel-uso-kwa-uso-na-mbaya-wake.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago